JE RIHANNA KAWA MUISLAM? AONEKANA MSIKITINI ABU DHABI CHEKI PICHA HIZI HAPA

clip_image002clip_image002[10]

Rihanna ameamua kutumia Ziara yake ya kimuziki Vizuri sana kwa kutembelea vivutio katika nchi anazotemebela katika ziara yake hiyo ambaypo ni ya kikazi lakini akiwa ameongozana na Familia yake akiwemo Mama yake Mzazi,

Akiwa Nchini Afrika ya Kusini alitumia wakati huo kwa kutembelea mbuga za wanyama na viumbe wa majini, kwa mara hii akiwa katika muendelezo wa Ziara yake hiyo katika nchi za UAE huko Abu Dhabi ameonekana akiwa katika msikiti mkubwa  ikiwa ni ishara ya kutembelea na kujionea imani ya dini ya kiislam na tamaduni za huko huku akionekana katika mapozz tofauti tofauto ndani ya msikiti huo akiwa amevalia mavazi meusi na hijabu

Unaweza kusema Rihanna kawa muislam, Rihanna Ameshare picha zake kupitia mtandao wa Instagram akiwa ndani ya msikiti

RIHANNA DIAMONDS WORLD TOUR- Abu Dhabi Concert

clip_image002[4]

clip_image002[6]

clip_image002[18]

clip_image002[8]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post