HUU NDIO UJIO MPYA WA TUNDA MAN AMSHIRIKISHA ALLY KIBA

clip_image002
Msanii mahiri katika mziki wa Bongo Flavor kutoka Manzese Tip Top connection maarufu kama Tunda Man anatarajia kuibuka tena na ujio mpya katika game na track mpya ya Msambinungwa ambayo atamshirikisha msanii mahiri Ali Kiba, kwahio kwa wale wapenzi wa Tunda Man na Ali Kiba kaeni tayari kwa ngoma mpya.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post