HEBU CHEKI THE MAKING VIDEO YA SNURA “NIMEVURUGWA”

clip_image001[5]Leo mchana msanii mwenye Majanga yake na kisha Akavurugwa anaitwa SNURA alikuwa akishoot video yake mpya inayoitwa NIMEVURUGWA maeneo ya Kigamboni sehemu moja inatwa Kijiji Beach. Video hii ilikuwa ikisimamiwa na Dir MejaMtu mzima Dude aka Yahaya nae alikuwepo kwenye video ya Snura Nimevurugwa sijui kwenye video atakuwa amefanya nini ndani

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post