Unknown Unknown Author
Title: CPWAA: “VIDEO ZA BONGO PESA NYINGI UBUNIFU HAKUNA”
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
CPWAA Mkali wa crank Tanzania Cpwaa leo amesema kuwa Wimbo wake mpya wa Chereko Chereko umelenga masoko yote, nje na ndani ya Tanzania na ...

clip_image003CPWAA

Mkali wa crank Tanzania Cpwaa leo amesema kuwa Wimbo wake mpya wa Chereko Chereko umelenga masoko yote, nje na ndani ya Tanzania na video ikitoka shabiki utaelewa hilo zaidi. Fahamu kuwa mara ya mwisho Cp ametoa wimbo ilikuwa mwaka jana alipotoa Double Release yani ngoma mbili kwa wakati moja. Nyimbo Mambo na 12 O'clock .

Cpwaa pia amezungumzia kuteka soko la nje na kusema kuwa kwa sasa msanii wa Africa ilikushine njee lazima ufanye muziki wa nyumbani yani African Music na sio kama Wamarekani sababu tayari muziki wa Africa imeshika soko.

Pia kuhusu video mpya Cpwaa kasema Hata weza kufanya video ya wimbo wake wa Mambo ila video zingine zipo na zinakuja. Pia Cpwaa amesema video bongo zimeboreshwa ila bado ubunifu hakuna ingawa wasanii wanatumia pesa nyingi kufanya video.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top