Mshindi wa BET award kwenye kipengele cha Best African act “Ice Prince” kutoka Nigeria ameshirikiana na msanii kutoka Bad Boys record “French Montana” kwenye wimbo wake mpya. Ngoma hii “I swear” inatarajiwa pia kuwa ndani ya album ya Ice Prince “Fire of Zamani” itakayotoka baadae mwezi huu baada ya kusogeza mbele tarehe ya kuitoa. Sikiliza na download hapa
Tags
MUSIC NEWS