HII NDIO PICHA YA KIPEKEE KUTOKA KWA MAHARUSI HAWA

clip_image002Maharusi  Stefano Kisinda na Rebeka Mwalo wakiwa  wamepanda  juu ya mti kwa ajili ya kupiga picha ya tofauti na maharusi  wengine hupendelea kupiga picha hizo wakiwa Beach au katika Mahoteli Makubwa au katika Bustani Nzuri,

Picha Hii walipiga wakati walipofunga pingu ya maisha katika kanisa la Roman katoliki parokia ya Ikuvilo  kijijini Ikuvilo wilaya ya Iringa vijijini juzi

(picha na Francis Godwin Blog).

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post