DMX ADATA :AVUA NGUO HOTELINI NA KUTEMBEA MTUPU....CHEKI PICHA NA VIDEO HAPA

clip_image001Tukio alilolifanya rapper DMX hivi karibuni la kuvua nguo na kutembea hotelini akiwa na suti yake ya asili (utupu) inaashiria utendaji wa akili yake uko mashakani.

Katika video iliyowekwa na TMZ inamuonesha rapper huyo aliyekuwa katika hotel ya Detroit wikend iliyopita, kwanza alitokea upande ‘A’ wa korido ya hotel hiyo akiwa amevaa boxer na alipofika kwenye kona ya korido hiyo ambapo kuna mlango pembeni, alivua boxer na kukimbia kuelekea upande ‘B’ wa korido kama anafukuzwa na kitu.

Baada ya sekunde chache kupita akapita mhudumu wa hotel mwanamke aliyeonekana akisukuma toroli lenye vyombo, mara ghafla na DMX akarudi na mwendo ule ule mpaka pale pale alipovulia boxer na kuivaa, kisha akaondoka akitembea kurudi upande A alikotokea mwanzo.TMZ walipomtafuta DMX alidai alijiskia tu kufanya alichokifanya na hajutii chochote “I’m not ashamed of anything I got”.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post