BAADA YA STYLE YA KIDUKU KUTESA SASA NI ZAMU YA NGOLOLODANCE CHEKI HIZI VIDEO

clip_image001Diamond Platinumz kupitia account yake ya Instagram amekuwa akipost video tofauti za mashabiki wake wakicheza style mpya ambayo ameitumia kwenye wimbo wake wa Number One. According to Diamond video nyingine zinatoka nje ya Tanzania na baadhi zinatoka hapahapa Tanzania. Cheki baadhi ya hizi video,

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post