Unknown Unknown Author
Title: ANGALIA MAPOKEZI YA FRANCIS CHEKA, APOKEWA KWA SHANGWE MKOANI MOROGORO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
  Bondia Francis Cheka akiwa sambamba na Mkanda wake aliokabidhiwa Agost 30 baada ya kumtwanga Mmarekani Phil William  mwishoni mwa wiki...
clip_image001 
Bondia Francis Cheka akiwa sambamba na Mkanda wake aliokabidhiwa Agost 30 baada ya kumtwanga Mmarekani Phil William  mwishoni mwa wiki ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar,pichani bondia huyo akiwa na mashabiki wake wakati alipokuwa akiwasili mkoani Morogoro anakoishi mapema jana jioni.Msafara kuelekea katikatika ya mji ukiendeleaCheka akizungumza na umati mkubwa wa watu uliofurika kwenye ukumbi wa Old Vijana majira ya saa 12 jioni kwenye mapokezi hayo ya Cheka kulikuwa na vituko kibao kikiwemo cha Mlemavu wa miguu aliyenusurika kugongwa na gari alipotaka kumshika mkono Cheka baada ya kuona tukio hilo Cheka alisimamisha msafara huo na kumshika mkono Mlemavu huyo kwa habari na picha za tukio hilo la kuhudhunisha zitawajia hivi punde


PICHA ZOTE NA KWA HISANI YA DUSTAN SHEKIDELE,MOROGORO

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top