WEMA SEPETU KUANZA KUIMBA…NA HII NI BAADHI YA MISTARI YAKE….

clip_image002Wema Sepetu miss Tanzania aliyegeuka kuwa muigizaji, ameweka wazi kwamba anataka kuimba na katika kuthibitisha hilo ameshaandika mistari kadhaa ya anachotaka kuimba. Wema alishawahi kuimba kwenye wimbo wa kuhamasisha kumchangia msanii Sajuki wakati anaumwa. Wimbo huo unaitwa “Mboni yangu”, so kuingia kwenye booth kurekodi wimbo sio kitu kipya kwa Wema Sepetu. Hii ni baadhi ya mistari ambayo ameshaandika Wema Sepetu kwa ajili ya wimbo huo.

Mwambie wake ni mimi, na kwangu moyoni atabaki ni yeye, tena mwambie bado silali kutwa nawaza penzi langu… ila siku atakugundua kuwa mi ndo mwenyewe

Mpaka sasa hivi ni wimbo mmoja Wema alirekodi kwa kushirikiana na Snura ambapo Tunda Man alishiriki pia kuuandika

Hii hapa ni video siku ambayo Wema anarekodi sehemu kidogo ya wimbo wa kuhamasisha kumchangia Sajuki

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post