Baada ya kuwa Kimya kwa muda mrefu, hitmaker wa Niwe Nawe Milele, Rehema Chalamila a.k.a Ray C anatarajia kurejea tena kwa kishindo kwenye muziki.
Ray C anatarajia kuonekana rasmi kwenye shughuli za kawaida na za muziki wiki ijayo, Bongo 5 imezungumza naye leo kuhusu maisha yake saa hivi, alivyobadilika na ujio wake mpya kimuziki.
Sikiliza Mwenyewe Mahojiano hayo kwa kubofya hapo chini…..
Tags
HABARI ZA WASANII