WAZIRI MAGHEMBE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI NEWALA

clip_image001Mkuu wa Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, Christopher Magala (kulia kwa Waziri) akimpa maelezo juu ya Mashine za kusukuma maji zilizopo katika chanzo cha maji cha Mitema - Mkunya , Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maji Wilayani humo hivi karibuni.Waziri akitembezwa katika matanki ya kuhifadhia maji.Ziara iliendeleaAkiagana na viongozi mbalimbali wilayani baada ya kumaliza ziara.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post