WASANII WATAKAOTUMBUIZA KWENYE JUKWAA LA FIESTA 2013 KIGOMA WATEMBELEA KABURI LA MANGWEA MKOANI MOROGORO

clip_image002Baadhi ya Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongo Fleva, ambao wapo safarini kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya kushambulia jukwaa la Tamasha la Fiesta 2013, linalorajia kufanyika Agosti 17, kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo, clip_image002[5]Wakiwa kwenye Makaburi ya Kihonda katika kaburi la Msanii mwenzao, Marehemu Albert Mangwea, leo asubuhi, nje kidogo ya mji wa Morogoro, walipofika kuzuru kaburi hilo na kumuombea dua.

 Mungu ailaze roho ya marehemu Mangwea, mahali pema peponi-Amen

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post