FOOLISH AGE KUZINDULIWA TAREHE 30/08/2013 MLIMANI CITY, MOVIE YA KWANZA KUTOKA KWA LULU MICHAEL

Muigizaji Elizabeth Michael (LULU) anatarajia kuachia movie yake ya kwanza tangu alipotoka jela "Foolsh Age" siku ya tarehe 30 mwezi wa nane katika ukumbi wa Mlimani City huku kukiwa na wasanii wa muzini pamoja na Jay Dee na Machozi Band ambao watasindikiza uzinduzi huo.clip_image002hotlulumichael Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu....!!!ninafuraha ya kuwafahamisha kuwa TAREHE 30/8/2013 ndio siku nitakayozindua movie ya mpya ya FOOLISH AGE....hatimaye narudi kazini!!!!Uzinduzi utafanyika katika ukimbi wa MLIMANI CITY....kutakuwepo na wasanii mbalimbali wa muziki....na pia LADY JAY DEE pamoja na MACHOZI BAND atakuwepo pia!!!nahitaji support ya mashabiki wote wa LULU na mashabiki wa BONGO MOVIE.....♥♥♥♥!!!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post