WAFANYAKAZI WATATU WA BENKI WASHTAKIWA KWA WIZI WA MILIONI 328

clip_image001

Na RICHARD MUNGUTI.

WAFANYAKAZI watatu wa benki ya Standard Chartered wameshtakiwa mahakamani Nairobi kwa kosa la kuiba Sh328 milioni kutoka kwa benki hiyo.

Betty Sande, Mike Oudo na Collins Omunga wanadaiwa kutekeleza wizi huo Julai 8, katika makao makuu ya benki hiyo.

Wamekanusha mashtaka na wakawekwa rumande hadi kesho Jumanne.

SORCE: EDDYMOBLAZE BLOG

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post