Unknown Unknown Author
Title: HILI NDILO GARI JIPYA LA IRENE UWOYA LINALOGHARIMU DOLA 95,000/=
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Irene Uwoya au unaweza kumuita Mrs Ndikumana na pia ni mama Krish, hivi karibuni ameingia kwenye headlines na TV show yake mpya kabisa ambay...

clip_image001Irene Uwoya au unaweza kumuita Mrs Ndikumana na pia ni mama Krish, hivi karibuni ameingia kwenye headlines na TV show yake mpya kabisa ambayo itaoneka @CloudsTV.Lakini hapa nakupa nafasi uone gari kali ambalo anaendesha Irene Uwoya hivi sasa. Ukiliangalia kwa nje ni gari classic,expensive na pia inamuonekano na rangi nzuri. Hivi sasa Uwoya anaendesha gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic. Japokuwa gharama imebakia kuwa siri yake, ukicheki kwenye mtandao wa Mercedes Benz US ndinga kama hii ikiwa mpya ina-cost $ 95,000.
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top