Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI: “PLAY BOY” SEHEMU YA SITA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai) Sehemu: 6 Mtunzi: Andrew Carlos Simu: 0713 133 633 Ilipoishia jana.. "..umepata sms yangu..?"...

clip_image002Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai)
Sehemu: 6
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: 0713 133 633

Ilipoishia jana..
"..umepata sms yangu..?"
Aliongea kwa sauti ya chini chini..,
"nimeipata.."
"...zingatia pliz n pliz am so hot..."
"..don't worry.."
"sure...?"
"yeah..!"
Aliondoka kwa shangwe zote huku na mi nikiwa na furaha mara akatokea helleiner na sahani aliyokuwa ameiwekea bites bites akaja kukaa namimi kochi moja huku akinilisha..,
"..karibu sweety wangu..!"
"thanx baby..."
"...jeff..?, nahitaji twende chumbani now pliz pliz...
Songa nayo..
"...sikiliza helleiner kwani chakula tayari...?"
"...jeff we twende sa hivi then hatukai sana jamani tunarudi kula na hawa wenzangu..."
Helleiner alikuwa amelegea sana kuanzia macho yake mpaka viungo vyake vyote vilionesha kumlegea sana..
"ok.., but nielekeze kwanza chooni ni wapi nikajisaidie then tunaenda huko chumbani..."
"...haya pita kwenye haka kakorido then mlango wa pili kushoto fungua ndio hapo hapo chooni..."
Niliondoka na kuingia chooni,nilifungua mlango na nilipoingia tu chooni,
"...Sshhhh..! kimya wala usipige kelele zozote jeff..."
Alikuwa ni michelle sura mbaya nadhani alinisikia nilipokuwa naulizia chooni hivyo akawa ameniwahi kuingia nakujificha..,
"jeff..? mwili wote ni wako huu hapa chukuwa..."
Aliongea kwa sauti ya chini chini na yakimahaba huku akitanua mapaja yake akiwa amekalia choo cha kukaa..
"..noo.., noo.. michelle, leo sina mzuka kabisa wa ku sex..."
"...unasemaje jeff...?, Nitapiga kelele sasa hivi niseme unanibaka.., unabisha...? Unabisha...?"
"noo.., noo.., usifanye hivyo..!"
Sikuwa na jinsi zaidi ya kuvua suruali yangu na kuanza ku sex na michelle sura mbaya huku akifurahia na kutoa sauti ya mahaba taaratibu..
"..jeff..! jeff..! tuendelee pliz naskia utamu sana, we unajua ku..."
"...nou michelle siku nyingine nitakupa zaidi ya hapa wacha nitoke watatushtukia..."
"..hawawezi bwana nipe tena jeff pliz..!"
"nimesema nou...?"
"..nitapiga kelele..?"
"..piga tu hapa mimi si sex tena..! kwanza nimechoka.."
"unasemaje jeff...?"
"..nimechoka sitaki ku sex...? Sitaki..! usikii enh...?"
"..jeff...? Embu ingiza ihyo nanii yako hapa kwangu..?"
"..sitaki..!"
"jeff 1..? jeff 2...? Je..."
"...haya.., haya basi chukuwa, utaniwi na wewe ehh..!"
Sikuwa na jinsi zaidi ya ku sex tena kwa mara ya pili na michelle sura mbaya hivyo hivyo tena bila ya hata kutumia condom.
Nikiwa bado katikati ya sex mara hodi ikapigwa kwa nje..,
"jeff..? jeff..? bado hujamaliza kujisaidia tu mpenzi wangu...?"
Ilikuwa ni sauti ya helleiner akiníita, haraka haraka nikachomoa nakutaka kuvaa nguo zangu ili nitoke ile navaa tu mara nikavuliwa hapo hapo na michelle sura mbaya..,
"..jeff unaenda wapi...?"
Aliongea michelle sura mbaya kwa sauti ya chinichini..
"hujaskia hodi.., helleiner huyo ananihitaji..."
"Hamna kwenda embu endelea huko...!"
"noo..! noo siwezi...!"
"N i i i i i i i i n i ...? Sasa utanijua vizuri leo mi ni nani..?"
"..inamaana hujaridhika tu jamani..?"
"ndio sijaridhika na wewe jeff.., unajua sana ku sex ndio maana siridhiki..!"
Niliona kama ananizingua kama nitaendelea kupiga naye stori..,
"..aaahh..! liwalo na liwe.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikizivaa nguo zangu nikimwacha michelle sura mbaya akinikodolea mijicho yake kwa hasira ya hali ya juu...
"...Oooh sorry helleiner wangu nilibanwa na tumbo la kuhara...!"
"...pole sana jeff wangu, na mi mwenyewe nilitaka kushangaa chooni muda wote huo..? Pole sana mpenzi wangu..."
"..thanx u baby.."
"embu ngoja nikimbie hapo nje kwetu mbele kidoogo kuna duka la dawa wacha nikufuatie, kwani tumbo linakuuma sana..?"
"yeah siyo sana.."
"ok.., pumzika kidogo hapo sebuleni wacha nikakununulie 'flagile' unywe mpenzi wangu.."
"ok..."
Helleiner alichomoka fasta fasta nakuelekea nje kunitafutia dawa bila kujua kwamba nimemdanganya, na alipotoka tu nilisikia kama mtu anaoga bafuni hivyo akili yangu moja kwa moja ikanituma kuwa atakuwa ni michelle sura mbaya ndio anaoga tu, nilichokifanya mnyamwezi nikatafuta mlango wa jikoni mpaka nikaujua nakuingia..,
"..hellow dada yake helleiner..?"
"..yap jeff.., helleiner yupo wapi...?"
"..kaenda dukani nje uko...!"
Nilipomwambia tu hivyo bila ya kuchelewa akau lock ule mlango wa jiköni fasta nakunivulia ile kanga moja yake kisha..,
"...haya jeff kama nilivyokuambia am so hot.., uwanja wako sasa jimwage..."
Nilibaki nimeduwaa kwani kiukweli michelle sura mbaya alishanichokesha,sikutaka kuonekana mi si rijali pale pale nikavua suruali yangu kisha nikaanza kumnyonya dada yake helleiner kuanzia kwenye matiti yake kupitia kitovuni mpaka kwenye nanii yake huku nikimwacha amelegea vibaya mno..,
"...jeff kumbe we mtundu kiasi hicho, uuhh..! Uuhh..! uuhh..! jeff..! jeff..!"
Nilichukuwa vidole vyangu nakumdumbukizia kwa kumtekenya kwenye nanii yake huku nikivuta hisia ya hali ya juu..,
"...jeff..? ingiza basi..!, ingiza...!"
"...noo.., noo.., sina condom....!"
"Ooh shit...! whaaat..? whaaat jeff...?"
"...i don't have any condom here..."
"...just dry jeff..! pliz..!"
"..dry...? Nou..! nou..! nou..!"
"..jeff..? jeff pliz..!"
Tukiwa bado tunazozana na dada yake helleiner pale chini mara tukasikia sauti ya helleiner akija.
"..jeff wangu..? Jeff my love upo wapi...?"
"yupo chooni..."
Nilisikia sauti ya michelle sura mbaya akimjibu kwa sauti ya mbaali..,
Hapo hapo nikamvaa dada yake helleiner hivyo hivyo kavu kavu bila ya kutumia condom huku akifurahia mapenzi yangu haswa na nilipomaliza cha kwanza tu..,
"...jeff..?, one more pliz....!"
"..noo noo enough alwayz iz enough let us do another day...!"
"..whaat jeff.., nahitaji sasa hivi tena..."
"..siku nyingine bwana tena nitakupa zaidi ya hapa.."
"..sitaki nataka sa hivi..?"
"...si umemsikia helleiner ananiulizia...?"
"...sasa ukikataa mi ntamwita aje ashuhudie hapa mi nawewe tunachokifanya sasa hivi..."
"...nou nou usifanye hvyo pliz..."
"...haya tuendelee..!"
Kidume cha mbegu sikuwa na jinsi zaidi ya kumfanyia tena mautundu huku nikimpagawisha vya kutosha zaidi ya alivyokuwa anataka.
Tukiwa katikati ya dimbwi la mapenzi mara kwa mbaali tukasikia sauti ya helleiner akiongea tena na michelle sura mbaya..,
"..mböna nimemwangalia tena huku chooni uliposema yupo hayupo enh...?"
"...kweli dada aliaga anaenda chooni we muangalie vizuri tu...!"
"...inamaana mi chizi niliyeingia chooni nakuona hamna kitu enhe...?"
"...basi tufanye mi sijui alipoenda.."
"...na dada yuko wapi...?"
"..dada bado yuko jikoni anapika..."
"...ngoja nikamuulize huko huko jeff alipo labda anajua..."
Nilianza kutetemeka huku nisielewe nitafanyaje kuepuka soo pale..,
"...ufunguo wakutokea mlango wa huku nyuma upo wapi...?"
"...upo sebuleni juu ya kabati..."
"Ooh my God...!!! tumekwisha tutafanyaje sasa...?"
"..Mmh mwenyewe sina ujanja jeff wacha atufumanie tu tena sivai nguo yeyote hapa..."
"unasemaje...?"
"...wacha atu.. fuma.. nie.. tu...!!!"
Hodi ikaanza kupigwa kwanguvu zote huku nikisikia sauti ya helleiner ikilalamika kwa hasira ya hali ya juu..,
"...jeff..? jeff..?, dada..? dada...? Fungua..!!"
Sikuwa na jinsi zaidi ya kwenda mpaka mlangoni kwa lengo la kuufungua mlango huku nikimwacha dada yake helleiner akiwa amelala hoi pale chini tena akiwa amejifunika kanga moja tu, na nilipofungua tu kitasa mara nikamuona Helleiner.
"...jef vipi tena..?"
"...am mh..! mh..! ona dada yako alivyokuwa...!"
Nilipofungua tu mlango dada yake helleiner akaanza kutapatapa, na pale pale nilivyomuelezea helleiner akawa amemuwahi nakuanza kumpepea..,
"...jeff tusaidiane embu tumbebe tumpeleke mpaka sebuleni..."
Sikuamini kama helleiner atakuwa yupo seriouz kiasi kile, tulisaidiana kumbeba mpaka sebuleni kisha helleiner akawasha a/c ili impepee,
"..jeff, sorry kwa kutokwambia mapema..."
"...usijali helleiner mpenzi.."
"..dada huwa anasumbuliwa sana na ugonjwa wa kuanguka kila inapofika tarehe 6 au 7 ya mwezi, na leo tulikuwa na wasiwasi ataweza kutokewa na hiyo hali..."
"dah..! poleni sana.."
Nilibaki na maswali kibao nikijiuliza au labda nafanyiwa mchezo wakuigiza tena kama wa zile muvi za kibongo zakina ray na kanumba hapa..
Tulikaa pale sebuleni kama dakika ishirini nzima ndipo dada yake helleiner akazinduka.
"...dada pole, pole sana.."
Mtu wa kwanza kumpa pole alikuwa ni michelle sura mbaya.
"ahsanteni..."
Aliinuka pale nakuelekea chumbani kisha baada ya muda akarudi ameshavalia nguo vizuri kuonesha kuwa ameshaoga kabisa..
~ Muda wa kuparty ~
Tulisherekea vizuri ikiwa ni pamoja nakula misosi tofauti, hakukuwa na watu wengi zaidi ya wao wenyewe tu pamoja na mimi,
Mitego ilikuwa ni mingi sana kwani kila mmoja alitaka kucheza na mimi hata pale ilipokuwa nyimbo ya bluez ikiimba na si kucheza na mimi tu bali walikuwa wakinitaka kimapenzi tena kwa nyakati tofauti lakioi niliwatosa..
"...jeff, baada ya hapa nataka tutoke tukalale hotelini.."
"...sawa nimekuelewa lakini leo sina kitu mbona..?"
Ilinibidi aibu niiweke kando then nimwambie ukweli halisi niliokuwa nao kwa kipindi hiki..
"...jeff usiwe na tatizo lolote kwani pesa ninayo..."
"ok..,sasa tutaenda hotel ipi..?"
"...we niachie kila kitu mimi nitafanya.."
"pouwa..! pouwa..!"
Tulimaliza sherehe vizuri nafikiri ilikuwa kwenye mida ya saa 4 za usiku, michelle na dada yake helleiner walinilazimisha sana tusherekehe mpaka asubuh lakini ikawa haiwezekani hivyo tukachukuwa tax..,
"..hapa mpaka oysterbay sh. Ngapi..?"
"elfu 6 tu..."
"ok..., tupeleke 'sall's hotel...'
Hapakuwa mbali sana lakini dah ni bonge la hotel na kwa jinsi mtoto helleiner alivyokuwa amelipuka kazima uta appriciate kuwa ana hadhi ya kulala katika hotel ile., moja kwa moja akamlipa dereva tax na kilichofuata breki ya kwanza ni mpaka reception..
"..Sista chumba sh. Ngapi..?"
"..elfu 45 single.., self 60.."
"...tupe self..."
Alilipia chumba na kuingia ndani huku tukifurahia upepo wa kiyoyozi, kiukweli mwili ulikuwa umechoka sana haswa katika eneo la kiunoni kutokana na kusex sana na dada yake helleiner pamoja na michelle sura mbaya.
Tuliingia bafuni kupata maji huku tukifurahia ndani ya sinki la kuogelea na kila mmoja akimmwagia maji mwenzake..
Usiku ulikuwa mzuri kwangu kwani niliumalizia kwa kumpiga bao 1 helleiner kisha tukalala hadi asubuhi ambapo kulipokuchwa nilimsindikiza mpaka kwao nami nikarudi nyumbani kwetu tandale.
~ Nyumbani kwetu ~
"...tena bora umejileta mwenyewe jeff..."
Nilipofika tu home nilipokelewa kwa maneno kutoka kwa maza huku sura yake ikioneshwa kukerwa na kitu flani hivi..
"..hivi we jeff unamatatizo gani mwanangu...?"
"..maza mbona sikuelewi kwani kuna tatizo gani hapa...?"
"...unajijua mwenyewe ujinga uliofanya, shule umekataa na bado unaendelea kufanya ujinga tu halafu si tunakuangalia kweli jef mwanangu..? Inamaana sisi wazaz wako hatuna akili si ndivyo jeff..?"
"...maza mbona lawama kihivyo we c uniambie nimefanya kosa gani nijue..?"
"..ingia..! Ingia sebuleni huko ukaone ulichokifanya.
Mapigo ya moyo yakaanza kunienda kasi huku nikinyemelea taaratibu nisijue kitu gani nilichofanya..
Nilipokaribia tu sebuleni nikachungulia kwanza..,
"Jesus...!"
Kumbe alikuwa ni jacky tena akiwa na mama yake, kichwa changu kikawa hakinipi kabisa,nikajua hapo mzee mzima itakuwa ndoa ya mkeka tena manake duh huyo jacky alivyoking'ang'anizi...?
Fasta fasta nikanyata kwa lengo la kutoka nje ili nitoroke kuua soo lakini ile nafika tu nje..,
"...umeshaenda uko sebuleni nilipokwambia...? Si nakuuliza we jeff...?"
"...naenda maza nimesahau kuvua viatu..."
Ilinibidi kuzuga kwanza lakini sikuwa na jinsi tena zaidi ya kurudi tena sebuleni huku maza akinisindikiza kwa nyuma na kwa maneno...
"...haya sasa jeff lenyewe hili hapa limesharudi..."
Dah kweli maza alinikamia mbaya coz hata cjakaa pale sebuleni kaanza na maneno yake.
"...jeff mwanangu hujambo...?"
"...sijambo shikamoo mama..."
Alikuwa ni mama yake na jacky...,
"...marahaba, jeff vipi unamjua huyu ...?"
"mhh..! mhh..! simj..."
"jeff..? jeff..? unajua mi siyo mpumbavu kuja hapa...?"
Alianza kubadilika na kuniogopesha lakini nilijipa moyo kuwa mi ni kidume cha mbegu tu hawaniwezi kwa chochote...
"...ndio mama namfahamu...!"
Nilijibu kwa kujiamini zaidi..
"...basi kama unamfahamu na hii mimba uliyompa utakuwa unaifahamu..."
"mimba...? Mimba gani tena...?"
"mi sina mengi.., mama jeff nadhani mwanangu jacky ndo huyu hapa namkabidhi rasmi hapa kwenu na nitakuja kumuona akishajifungua..."
"..ahh..! ahh..! ahh..! mama mi sijampa mwanao mimba bhana mnanisingzia tu..."
"...ndo nimeshamwacha hivyo., muishi kwa upendo na nawatakiwa mafanikio mema katika maisha yenu..!"
"...lakini mzazi mwenzang..."
Mama alitaka kunitetea lakini kabla hajamalizia akawahiwa haraka,
"...yani ni bora nimemkabidhi mimi kwani baba yake na jacky ana RB kabisa ya huyo jefF kwani jacky ndio kwanza ana miaka 17 sasa fanyeni kuitoa hiyo mimba mtamjua yeye ni nani,kama jeff ajaozea ndani..."
Nilihisi kujiharishia huku tumbo likiniunguruma nishindwe cha kujitetea.
Hapo hapo mama yake jacky akaondoka zake nakuniacha mimi na maza pamoja na huyo jacky.,
Alipotoka nje tu,
"jacky mpenzi"
Sikumuogopa maza yangu nikamuita pale pale nakumpeleka mpaka chumbani kwangu.
"sasa hapa ndo chumbani kwangu na ole wako utoke nje.."
Nilimfungia mlango kwa ufunguo huku akili ikinituma kwenda kutafuta sindano za kutoa mimba...
"...ukisikia jeff ryder kaua ndio leo kwani iwe isiwe lazima nimtoe tena kwa mikono yangu mwenyewe"
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiongoza kwenda duka la madawa,nilipofika dukani bila kuogopa nilimuagizia yule muuzaji akawa ananipa ile nazishika tu sindano pamoja na madawa ya kutuliza maumivu mara uso kwa uso na mama yake jacky tena akiwa nadhani ni baba yake jacky,
"...jeff unafanyaje hapo..? Na hiyo uliyoshika nini..??"
...si nakuuliza we jeff hicho ulichoshika ni nin..?"
"mhh..! mhh..! mama hizi si dawa za kutulizia maumivu tu..."
Fasta fasta nikazificha zile sindano na kumuonesha dawa za kutulizia maumivu ambazo zilikuwa ni dicloper..
"...aaahh.., kumbe unamjali enh.., na muishi vizuri huko..."
Niligeuka na kumuangalia kwa jicho la dharau tena kimya bila ya kumjibu chochote..
Nilipofika home tu kabla cjaelekea chumbani nikakutana uso kwa uso na baba sebuleni na alikuwa na hasira kama mbogo..,
"..jeff..? kuja hapa...?"
"..naam baba...!"
"...embu niambie mwanangu unamatatizo gani wewe...?"
"...hapana mzee"
"..huna tatizo enh..?, haya kuanzia sasa sitaki kukuona kwangu na umchukuwe huyo mwanamke huko ndani mkatafute sehemu ya kuishi naye na si kwangu mpumbavu mkubwa we...!"

**** U play boy sasa unaonekana dhahiri kumwendea Jeff kombo.. Ameshaharibu nyumbani kwao unavyodhani ataenda wapi kuishi na maisha yake yatakuwaje kwani hata kazi hana..?
*** Je ni kweli mimba aliyonayo Jacky kapewa na Jeff..?? Vipi kuhusu wazazi wa Jacky watarudi tena kuwafatilia kina Kujua Jeff ataishi vipi na mtoto wao..??
*** Simulizi hii ndio kwanza inaendelea kunoga kila kukicha kamwe usikose hata sehemu kwani uhondo wake ni balaa..
*** Endelea ku LIKE ku SHARE hata ku COMMENT simulizi hii kila itakapokuwa inatoka ili na wenzako nao waweze kuburudika kama unavyoburudika wewe.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top