Wachezaji wa Simba wakimpongeza Jona Mkude Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi leo
SIMBA SC imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na wenyeji Rhino Rangers kwenye Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, Tabora katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Mabao yote ya Simba SC yalifungwa na kiungo Jonas Mkude dakika za 10 na 38 kwa penalti, wakati ya Rhino yalifunwa na Iman Noel dakika 36 na Saad Kipanga dakika ya 64.
SOURCE: BINZUBEIRY
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.