Mafundi wakiendelea na ujenzi wa Makao Makuu ya Kituo kipya cha Televisheni cha Aam TV, eneo la Tazara, Dar es Salaam. Kituo hicho kimeingia mkataba wa kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Yataanza kurushwa Septemba mwaka huu. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Tags
AZAM FC