MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Vodacom, Yanga, leo wameanza kampeni yao ya kuteteaTaji lao huko Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kwa kuitwanga Timu iliyopanda Daraja Msimu huu, Ashanti United, Mabao 5-1.
Bao za Yanga zilifungwa na Jerry Tegete, Bao 2, Msuva, Niyonzima na Nizar Khalfan wakati lile la Ashanti lilifungwa na Shaban Juma alieingizwa Kipindi cha Pili.
VIKOSI:
Yanga: Ally Mustapha 'Barthez', Juma Abdul, David Luhende, Nadir Haroub 'Cannavaro', Mbuyu Twite, Athuman Idd 'Chuji', Saimon Msuva , Salum Telela, Didier Kavumbagu, Jerson Tegete, Haruna Niyonzima
Akina: Deogratius Munishi 'Dida', Issa Ngao, Oscar Joshua, Bakari Masoud, Frank Domay, Nizar Khalfani, Hussein Javu - 21
Ashanti: Ibrahim Abdallah, Khan Usimba, Emanuel Kichiba, Ramadhani Malima, Tumba Sued, Emanuel Memba, Fakih Hakika, Mussa Nampaka, Hussein Sued, Mussa Kanyaga, Joseph Mahundi.
MECHI ZA UFUNGUZI-MATOKEO:
Jumamosi Agosti 24
Yanga 5 Ashanti 1
Mtibwa Sugar 1 Azam FC 1
JKT Oljoro 0 Coastal Union 2
Mgambo JKT JKT Ruvu
Mbeya City 0 Kagera Sugar 0
Ruvu Shooting 3 Prisons 0
Rhino Rangers 2 Simba 2
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.