Msanii wa kizazi kipya katika miondoko ya bongofleva Recho ametupia picha yenye kivazi kinachofanana na cha rihana katika moja ya show zake alizofanya. Je ni kweli wana Match katika Kivazi Hicho? Sema chochote katika Coment Box
Tags
HABARI ZA WASANII