PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA MAZISHI YA ERASTO MSUYA,BILIONEA ALIYEPIGWA RISASI ARUSHA..

clip_image001Mchungaji Abeli Msuya na mkewe wakitoa sala mbele ya jeneza la marehemu.Familia ya marehemu katika ibada ya kumwaga marehemu Erasto Msuya iliyofanyika  Jumatatu huko  Sakina Arusha.Dada wa marehemu Erasto Msuya  katika ibada ya kumwaga marehemu kaka yake Erasto Msuya nyumbani kwake Sakina ArushaNdugu jamaa na marafiki wakiwa na majonzi.Mchungaji Mwanga akitoa neno katika ibada hiyo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post