NILILALA NA MAITI 20 ILINIOLEWE NA RAIS SEHEMU YA KUMI NA MOJA

clip_image003Story: Nililala na maiti 20 ili niolewe na Rais
Sehemu: 11
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: +255 713 133 633
Ilipoishia…
“Abee! Unasemaje?”
Nillijikuta naweza kutoa sauti, tena sauti tofauti na sauti yangu ya kawaida. Ilikuwa ni mchanganyiko wa sauti ya kike na ya kiume. Sauti iliyoshiba na yenye kumtetemesha mtu yeyote.Akili ikafurahia nakuanza kuutafuta moyo ndani yake ulipo.ukafanikiwa kuuona moyo nakufurahia kuwepo pamoja kwa mara nyingine.
Songa nayo…
Nguvu za kichawi zikanijaa upya. Mwili ukajipa ubabe wa muda kwa kujitingisha.Nikaanza kujaribu viungo vya mwili kama vina ushirikiano. Nikapiga hatua mbili mbele moja nyuma. Nikainua mikono yangu nakuikumbatia kwa hisia. Nikajikumbata! Nikaigeuza shingo yangu kumuangalia Sonia pamoja na ile misukule. Patupu! Sikuweza kumuona hata mmoja.Lile eneo nikabaki kuwa peke yangu kwa mara nyingine tena. Ile hali ya woga aikaniondoka kwa muda huu.
“Ahhh liwalo na liwe!”
Nikausemea moyo nakujijaza ujasiri wa hali ya juu. Ujasiri wa kupambana na chochote mbele yangu.Sikujua nilipotokea wala nilipokuwa nikielekea. Nikafuata kinjia cha pori nakuongoza. Kwa takribani hatua kama arobaini uku giza likiwa limenizunguka na macho ya kichawi yakiwa kama mwanga wa kuangaza. Sauti ya nyimbo ile ile tena ninayoipenda ikatikisa ngome ya masikio yangu. Shtukizo! Ile sauti ikaongezeka kupaa na kuwa sauti kubwa na nyingi zikiimba kwa shangwe. Nikasimama! Nikashikilia majani ya mti kwa nguvu na hisia mwilini uku nikiisikiliza ile nyimbo ikiimba. Mara ile sauti ya nyimbo ikakata tena!
“Oiyeee he”
“Heeeee!!”
Sauti za wachawi wenzangu zikatokea upande wa nyumba yangu.Kila mmoja alionesha kuwa na ngozi ya binadamu wa duniani katika eneo lake la sehemu za siri. Walikuwa ni wengi sana wakinifuata kwa kunikimbilia uku mikononi mwao kila mmoja akionesha kuning’iniza mienge ya moto. Mwanga ukawa mkali sana. Sikuwa na jinsi zaidi ya kusimama nikiwaangalia wakinifuata. Wakanisogelea mpaka karibu kisha wakanizingira.Wakatangeneza duara kubwa. Nikajihisi akili ikichanganyikana na ubongo. Sikujua dhamira yao. Moyo ukabaki kuwa na maswali mengi kwani wachawi wa kambi yetu huwa hatuna mchezo wa kumsumbua mgeni kama wafanyavyo hawa. Wakatanua njia kidogo kuonesha kuna kitu kinakuja katikati yao. Akatokea mzee alioonesha kuwa na upara. Alibebwa juu juu na misukule sita uku mikononi mwake akiwa ameshikilia fimbo kubwa iliokuwa imenakshiwa vizuri kwa fuvu la binadamu. Hakuwa amevaa nguo hata moja mwilini mwake.Mtupu!
“Ineku wane?”
Akaita kwa sauti ya juu akimaanisha ‘mgeni wa kutoka wapi’. Wale wachawi wenzake wakabaki kimya wakinitolea macho. Akajitokeza Sonia miongoni mwao.Akamfuata yule mzee mpaka alipo. Akamnongoneza masikioni mwake.
“Sai sonsimba”
Yule mzee akatoa amri kwa lugha yetu ya kichawi akimaanisha ‘mpeni heshima yake’. nikastaajabu misukule wakimshusha yule mzee mpaka chini kabisa kisha wakaondoka. Wakabakia wale wachawi na mzee wao. Macho kodo! Upepo mkali ukatawala ghafla. Ukazunguka eneo la kwangu nilipokuwa nimesimama. Ukapuliza kwa muda mrefu ukichanganyikana na mwanga mkali. Ukakata! Pakabaki tuli. Nikaangaza tena nakushuhudia lile kundi la misukule likizingira na kupanga binadamu wa duniani .Wakawapanga chini zaidi ya kumi.
“Adela?”
“Mzee huyu kajuaje jina langu? Au Sonia kamwambia?”
Yule mzee akaniita kwa sauti ya juu uku akinitazama kwa mkazo. Nikabaki nikiulizana na moyo bila kupata jibu.
“Habari zako ninazo.hizo hapo chini ni maiti za kiume. Maiti ambazo zilipata ajali.Ajali ambayo sisi ndio wasababishi. Unachotakiwa iyvo ivyo ukiwa uchi anza kuzinyonya nakuzikalia kila mmoja katika sehemu zake za siri haraka iwezekanavyo.”
Nikajihisi kusisimka kwa mwili.Tamaa! Ile hali ya kufanya mapenzi na maiti ikaushtua sana moyo wangu. Nikafurahi sana uku nikaangalia ule umati wa wachawi uliokuwa umenizunguka. Kila mmoja akawa ameshikilia moyo mkononi mwake uku akitetemesha mdomo mithili ya mtu aliyetoka kuoga maji ya baridi sana katikia eneo lenye ubaridi. Wakawa kimya kunitazama nitakachofanya.Nikaanza kufanya kama nilivyoambiwa na mkuu wao. Nikaanza kulala nazo kuanzia maiti moja mpaka nyingine. Maiti zilikuwa na ladha tofauti kidogo na hata sehemu za siri zilikuwa zina uchachu sana. Kadri nilivyokuwa nazinyonya ndivyo na ladha ilivyokuwa ikibadilika katika mdomo wangu. Kunakipindi nilijihisi kutapika lakini nikakumbuka kuwa ni mwiko kwa mchawi yeyote kutapika katika mazingira yoeyote. Nikakumbuka sheria ambazo nilishapewa juu ya machawi atakayetapika na adhabu yake ya kutolewa ulimi na kuwa kama misukule. Nikajikaza nakumalizia kuzinyonya zote. Nilipomaliza nikaanza kuikalia kila mmoja nikiikatikia kidogo kidogo. Hofu! Nilipomaliza kuikatikia tu maiti ya mwisho. Manyunyu yakaanza kudondoka mpaka chini kuashiria mvua inataka kuja.Ngurumo za mianga ya radi zikapenya katika mboni ya macho ya kichawi. Kila mmoja akaanza kutawanyika akikimbia pasipokueleweka.Mvua ikaanza kunyesha. Mvua kubwa ile ya mawe.Nikainuka namimi kutaka kuondoka lakini nikajihisi miguu mizito kutembea. Nikainua mguu wa kulia ukainuka lakini nyayo zikabaki. Nikainua na wa kushoto napo ukaacha nyayo katika ardhi. Maumivu makali yakanijia mwilini. Nikajikuta eneo lote nikibakia na zile maiti ambazo nilitoka kuzinyonya na kuzilala.Maiti zile zikaanza kuinuka moja baada ya nyingine. Kila zikiinuka zilikuwa zikiweweseka nakuanguka tena uku nyingine zikijikaza mithili ya mazombi. Zililowana sana kiasi cha kuinuka zikiwa na tope tope jepesi. zikaanza kunifuta mpaka karibu zikitaka kuning’ang’ania mwili wangu.
“Niacheni ukoooo!!!”
Nilitoa sauti ya ukali lakini haikusaidia kitu kwani ndio kama nilihamsha na maiti nyingine pale chini. Zikanizunguka nakuniweka kati.Wakanikumbatia kwa wote huku mvua ikiendelea kunitandika mfululizo.Hawakuwa na sauti ya kuongea zaidi ya kutoa sura ya kikatili. Sura ya kumfanya mtu yeyote aweze kuogofya.Wakaanza kunishambulia kwa kunitafuna tafuna. Nikajihisi mwili kunyumbulika kama ilivyokuwa awali. Nikadondoka mpaka chini nakupoteza fahamu.
*******
“Adela?”
Nilishtuka nakujikuta nipo chini nimelala katika mazingira ambayo sikuayelewa. Nilikuwa ndani ya maji mengi sana mfano wa bahari. Ilikuwa ni kama dunia nyingine, kila mmoja alikuwa amenizunguka huku sura zao zikioneshwa kuwa na tabasamu la haja!
“Wewe nani?”
Nikauliza kwa ukali kidogo. Nikamuuliza yule dada aliyekuwa ameniita jina langu.
“Naitwa Diana! Nipo paomoja nawe, kwanza hongera!”
Nilijiangalia mara mbili mbili kwanini napewa hongera. Nikawaangalia na wale watu walioonesha kuwa tofauti sana kwani walikuwa wamevaa mavazi mazuri sana tofauti na wachawi wote niliowahi kuwaona. Walikuwa ni wasichana tupu. Shingoni na mikononi mwao kulijawa na dhahabu za kung’aa. Meno yao yalikuwa ya rangi ya silva.Yakimetameta!
“Hongera ya nini?”
Nikang’aka kwa utuli!
“Adela? Umefanikiwa kuwa na vigezo vyote vya kuweza kuolewa na Rais. Na kwa sasa Rais yupo ikulu anakusubiri kufunga ndoa nakuwa rasmi mke wake kuanzia leo kwa muda wa miezi miwili”
“Kweli?”
Sikutaka kabisa kichwa changu kiamini yasemayo na Diana. Nikayafumba macho. Halmashauri yangu ya kichwa ikafanya kazi haraka nakukumbuka kuwa kuna mtu niliambiwa anaitwa Diana ambaye alishawahi kuolewa na Raisi yeye ndiye atakayeniambia kila kitu jinsi ya kufika mpaka kwa Rais. Nilijikuta nikiushukuru moyo kwa uvumilivu ulioonesha nakuniongoza mpaka nilipofika. Zile ndoto zangu za kuolewa na Rais zikawa zimeshakubaliana na akili yangu. Nikainuka nakumkumbatia Diana. Diana akanishika mkono nakuniongoza ndani ya maji kuelekea uko ikulu kwa ajili ya kufunga ndoa.
******************************************
**** Adela atafanikiwa kufunga Ndoa na Rais? Na ni Rais yupi huyo? Kundi la kichawi la kina Sophy wanajua hilo? Na itakuwaje kama wakijua?
***** LIKE nyingi zinasaidia kuifanya simulizi hii inoge na kuwa tamu zaidi. Gonga LIKE yako simulizi hii.
***** Bado naendelea kupokea oda mbali mbali japo wachache mpaka sasa walioonesha nia ya kumuunga mwandishi. Kwa wengine wanaohitaji simulizi hii mwanzo mpaka mwisho usisite kutuma pesa yako kwenye namba hapo chini. Ewe msomaji ni wakati wako sasa wakumuunga mkono mwandishi walau nayeye apate kupata nguvu ya kukuandikia zaidi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post