MOURINHO AANZA VYEMA LIGI KUU ENGLAND...CHELSEA YAUA 2-0

clip_image001Oscar akishangilia na Torres baada ya kufungaHe's back: Jose Mourinho blows kisses to the Stamford Bridge crowd on his return

KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho amesherehekea kurejea kwake Stamford Bridge kwa kuanza na ushindi wa mabao 2-0 katika Ligi Kuu ya England dhidi ya timu iliyopanda daraja msimu huu, Hull.

Kiasi cha miaka sita tangu aachane The Blues, kocha huyo maarufu kama Special One alifurahia mapokenzi mazuri na mchezo mzuri wa timu yake akirejea nyumbani.Missed: Frank Lampard saw his penalty saved by McGregorHaikuwa kazi rahisi kwa Chelsea kushinda, baada ya mkwaju wa penalti wa Frank Lampard dakika ya sita kuokolewa na Allan McGregor na sheria ya teknolojia kwenye mstari wa goli ikachukua nafasi yake wakati kipa huyo wa Scotland alipookoa mpira wa kichwa wa Branislav Ivanovic na kudhaniwa ni bao dakika ya mwisho ya kipindi cha kwanza, ikisahihisha si bao.

Pamoja na hayo, Chelsea ilipata mabao yake yote kipindi cha kwanza kupitia kwa Oscar dakika ya 13 na Lampard dakika ya 25.

Kikosi cha Chelsea leo kilikuwa: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Cole, Lampard, Ramires, De Bruyne/Schurrle dk67, Oscar/van Ginkel dk85, Hazard, Torres na Lukaku dk75.

Hull City: McGregor, Elmohamady, Chester, Davies, Figueroa, Brady, Meyler/Huddlestone dk59, Koren, Sagbo, Graham/Livermore dk59 na Aluko/Boyd dk79.

Stopped: McGregor parried away Branislav Ivanovic's headerAmezuia: McGregor akizuia mpira wa kichwa wa Branislav IvanovicNo goal: GDS said Branislav Ivanovic's header didn't cross the lineSi bao: GDS imesema mpira wa Ivanovic haukuvuka mstariJoyous: Fans took to their craft sets again but this time to mark Mourinho's return, not to disapprove of board decisionsGonga hapa kuangalia zaidi kilichojiri Stamford Bridge Seven passes and in: Chelsea moved quickly to pull Hull apart before Oscar scored

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post