Misuli ya beki wa Yanga SC na mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu uliopita, Kevin Patrick Yondan 'Vidic' inavyoonekana baada ya kuumia jana kufuatia kugongana na mshambuliaji wa Azam FC, John Raphael Bocco 'Adebayor' katika mchezo wa jana wa kuwania Ngao ya Jamii baina ya timu hizo. Yanga ilishinda 1-0.
Tags
SPORTS NEWS