MKUU WA WILAYA MASASI ATEMBELEA MAONESHO YA NANE NANE LINDI

KILWA ALIZETIMkuu wa Wilaya ya Masasi,Farida Mgomi ambae alikuwa mgeni rasmi
siku ya tatu ya maonesho hayo katika viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi akikagua kilimo cha Alizeti katika Banda la wilaya ya Kilwa huku akipewa maelezo mafupi na wataalam wa kilimo
KILWAJENGO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA LIKIWA KATIKA HATUA ZA UMALIZIAJI KWA AJILI YA NANE NANE MWAKANI 2014KOROSHOMkuu wa wilaya ya Masasi akinunua korosho zao kuu la biashara kwa
mikoa ya lindi na mtwara katika Banda la wilaya ya NewalaLINDI VIJIJINI

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post