Diamond Platinum baada ya kumaliza kutambulisha video ya wimbo wake mpya Number One kwa heshima aliamua kumwita mbele msanii mkongwe 'Ngurumo' na kumkabidhi gari ya aina ya Funcargo
Sababu za kumpa gari alisema amesikitishwa sana baada ya kusikiliza Ngurumo toka enzi za ujana wake hajawahi kumiliki gari mpaka kustaafu kwakeMWONEKANO WA MBELE
MWONEKANO WA NDANI MBELE
MWONEKANO WA NDANI NYUMA
Tags
HABARI ZA WASANII