Kwenye Red Carpet nikiwa na Dada yangu,Rafiki yangu wa karibu
Penniel Mungiwa,Presenter wa DTV...Diamond Platnumz Akijibu maswali tofauti tofauti toka kwa waandishi wa Habari..The True Boy Is in the building.Proffesor Jay a.k.a Father House nae alikuwepo kushow Love kwa mdogo wake..Jacquline wolper & Qboy Msafii..Jacquline Wolper toka Bongo Move nae akukosekana...Asha Baraka,Manager na Owner wa Twanga Pepeta nae alikuwepo...Mzee Muhidini Gurumo nae akukosekana ndani ya Nyumba.Furaha Ilioje kumuona Nguli wa Muziki wa Dansi nchini akiudhuria kwenye kitu chako,binafsi nimefurahi sana uwepo wake ulizidi kuimarisha moyo wangu.Sarah A.k.a Shaa nae ndaniShadee & Dully...Mmmmmh....??? Aya sina usemiHamisi Mwinjuma a.k.a MWANA FA nae alikuwepo…Chege Chigunda Toka TMK nae alikuwepo....Flowers awakosekanagi sehemu kama hizi, wakiongozwa na Number One Diva Hamisa hassani Mobeto.Movement zikiendelea na mahojiano mbalimbali kati ya wasanii na presenters wa vituo mbalimbali vya Habari & Blogs kiujumla wakiwa kazini....Diamond akimuonyesha Mzee Gurumo gari aliyomzawadiaMzee ngurumo akiwandani ya gari alilopewa na Diamond Platnumz Usiku huo
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.