HILI NDILO GAUNI LA LULU LA UZINDUZI WA FOOLISH AGE LENYE THAMANI YA DOLA 1350 ZA KIMAREKANI

clip_image001 
Juzi actress maarufu Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) alifanya shopping ya nguvu kwa ajili ya uzinduzi wa filamu yake mpya ya Foolish Age ambao unafanyika leo Mlimani City, Dar es salaam. Moja ya vitu alivyonunua Lulu ni gauni lenye thamani ya dola za kimarekani $1,350 ambalo lilikuwa ni order maalum na ameshukuru limekuja kwa wakati. Muigizaji huyo mwenye mvuto licha ya kutokuwa sokoni na filamu nyingi mwaka huu lakini bado anaonekana kuwa moto wa kuotea mbali katika media na mitandao ya kijamii.
Pia alipata tuzo ya muigizaji bora wa kike wa filamu za kiswahili kutoka Zanzibar International Film Festival(ZIFF). Follow her on twitter LULU

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post