Dereve wa Isuzu Carry akiwa amepasuka eneo la kichwa baada ya abiria kumshushia kipigo, wakati ilipotokea ajali baina ya Basi la Abiria la ZAM ZAM linalofanya route ya Ruangwa – Dar es salaam na Isuzu Carry Eneo la Mnazi Mmoja Mjini Lindi.Abiria wakiwa wameshuka na Kuja Kumchomoa Dereva wa Isuzu carry Na kuanza kumpa kichapo Hadi pale Mpashaji wa Habari hii alipowaambia kuwa waache kumpiga la sivyo atawachukulia hatua za kisheria huku akionekana kuwapiga picha, hiyo ikawa nafuu kwa Dereva huyo kuacha kupokea kipigoMmoja wa abiria wa Basi hilo akizozana na abira mwenzake katika eneo hilo la tukio. Basi hilo likitokea Dar es salaam Kuelekea Ruangwa leo hii na Limepata Ajali maeneo ya Mnazi Mmoja Lindi Mjini jirani na Mizani.
Home
»
HABARI ZA KITAIFA
» DEREVA WA ISUZU CARRY ANUSURIKA KICHAPO KUTOKA KWA ABIRIA BAADA YA KUSABABISHA AJALI
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.