Watuhumiwa wa Kesi ya ugaidi iliyokuwa inawakabili wanachama wa Chadema akiwemo Henry kilewo wameachiwa Huru Baada ya Kesi Yao kufutwa na jaji katika mahakama kuu Huko Tabora
Habari zaidi zitakujia HAPAHAPA KAA nasi
CHANZO ;JAMIII FORUM
Tags
HABARI ZA KITAIFA