Unknown Unknown Author
Title: ZANZIBAR, MASASI, TANDAHIMBA, TUNDURU, ILEMELA, KWIMBA WATOA MAONI YA KATIBA MPYA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba , Bw. Mohammad Y. Mshamba (aliyesimama ) akifutilia majadiliano ya Wajumbe wa Baraza la Katiba la Hal...

clip_image001Mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba , Bw. Mohammad Y. Mshamba (aliyesimama ) akifutilia majadiliano ya Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza.Mbunge wa Kwimba, Mhe. Richard Ndassa akisalimiana na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. John Nkolo kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Kwimba hivi karibuni. Katikati ni Mjumbe mwingine wa Tume, Bw. Mohammed Mshamba.Mjumbe wa Baraza la Katiba la Walemavu wa Zanzibar, Bi Jide Khamis Saleh, akiwa pamoja na mkalimani wake Bw. Kheri Mohammed Simai, akitoa maoni yake katika Rasimu ya Katiba Mpya mjini Zanzibar hivi karibuni.Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Humphrey Polepole akiongea na wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Masasi katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.Mjumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Tandahimba Bw. Bakari Saidi Chibuyu akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wakiwa mkutanoni kuijadili Rasimu ya Katiba hivi karibuni wilayani humo.Mjumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Tunduru Bw. Fadhil Hassan Msham akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.

SOURCE: MTAA KWA MTAA BLOG

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top