AVUNJA REKODI YA KUWA BINADAMU MWEUSI ZAIDI DUNIANI

clip_image001INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamini kwamba ni mwanadamu, Meno ndio yalimtambulisha kwamba ni mtu

Yani amemfatilia dada huyu hadi kugundua kwamba kuna kampuni mpya ya kutengeneza vipodozi iliobuni krimu ya kujichubua na kumbadilisha mwanadada huyu ngozi yake kuwa nyeusi .

Hii ilikua ni katika majaribio ya kujaribu mafuta hayo kama yanaweza au laa ?.

Ndugu msomaji wangu huwezi amini mlimbwende huyu ni mzungu lakini sasahivi du !. Haya sasa kwa wakina dada watakaohitaji mkorogo huu bomba wa kukufanya uwe black beauty Endelea kutembelea masai nyotambofu blog siku sio nyingi utakuta tangazo la vipodozi hivyo !.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post