WAGONJWA WACHARAZWA BAKORA WODINI NA KISHA WAASI WAPORA KILA KITU HOSIPTALINI

clip_image001hospitali ya Kamango imeporwa na wagonjwa wote walipigwa fimbo na waasi wa ADF wakiungana na Mai Mai wengi wao wakiwa ni watoto wadogo walioonekana karibu na Kamango.jeshi la Congo FARDC ladhibiti kamango na Nobili mpakani mwa Congo na Uganda huyu ni  Meja KAKULE BUTALA aliyekomboa maeneo hayo tangu jana ijumaa tarehe 12/07/2013 akiwa na askari wake katika kambi ya kijeshi pa Nobili kupitia uongozi wa Kanali Bisamaza.huu ni mwili wa kiongozi wa asili aliye uliwa na waasi waADF NALU katika kijiji cha kamango Drc jana ijumaa july 12,2013Huyu mama amepoteza watoto sita kaka yake na mumewe hadi sasa haijajulikana kama wameuwawa au wametekwa.Hawa ni raia wa DRC wakisubiri kuandikishwa kuingia rasmi uganda kama wakimbizi.Hadi sasa mji wa kamongi unashikiliwana waasi tangu jana Alhamisi na hawa ni wakimbiziHao ni wanajeshi wa Uganda wakilinda mipaka ya nchi yao na wamesema hawataingia DRC ila watahakikisha waasi hao hawaingii UgandaHivi ndivyo hali ilivyo huko DRC maeneo ya Kamango angalia huyu mzee bila msaada anakimbia nchi yake!! Swali ni je,atafika Uganda kwa mwendo huu?Mwakilishi wa ITV &Radio One nchini Congo Austere Malivika akiwa na kamanda wa UgandaAustere Malivika akijiandaa kupanda milima ya Ruwenzori na wanajeshi wa UgandaSOURCE: MCHOME BLOG

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post