Aunt Ezekiel akiwa pamoja na wageni wake akifuturu
Staa maarufu wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel jana aliandaa futari na kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki nyumbani kwake Mwanyamala Garage ambapo wasanii wenzake kama Jacob Steven ‘Jb’ Steve Mengele na Hartman Mbilinyi walijumuika katika mualiko huo.
Baadhi ya wageni walioalikwa wakijiandaa kwa ajili ya kupata futari hiyo
Staa, maarufu wa filamu Jacob Steven ‘Jb’ akipata Futari…
Baadhi ya wageni walioalikwa wakijiandaa kwa ajili ya kupata futari hiyo
Baada ya futari JB na Aunt Ezekiel wakiwa katika nyuso za furaha.
Baadhi ya maanjumati aliyoandaa Aunt.
Picha kwa hisani ya global publishers
Tags
HABARI ZA WASANII