UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI (UTU) INAIPEPERUSHA VEMA TANZANIA

baadhi ya watanzania na marafiki zao ujerumaniBaadhi ya Watanzania na Marafiki zao wa kijerumani nchini UjerumaniDSCF6475wadau wa UTU wakiwa katika moja ya maonyesho ya AschaffenburgWadau wa UTU wakiwa Katika Moja ua maonyesho ya Aschaffenburgbaadhi ya bidhaa katika banda la UTUBaadhi ya bidhaa katika banda la UTU

Umoja wa Watanzania ujerumani(UTU) kwa kasi kubwa inaiwakilisha vema Tanzania huko Ughaibuni,kwa kutumia nafasi zote wanazopewa nchi Ujerumani,

ni juzi kati tu Umoja huo ulishiriki katika maonyesho ya "Brüderschaft der völker " mjini Aschaffenburg, ambapo wageni wengi walivutiwa sana na shughuli za Umoja huo za kuitangaza Tanzania, Umoja wa watanzania ujerumani (UTU) unatilia mkazo sana katika kuwashawishi wadau wa

kimataifa wawekeze katika udumua za jamii kama vile Elimu,Afya n.k

Umoja huo umepokea mialiko ya kushiriki maonyesho mengine yakiwemo makubwa kama International African Festival Tubingen 2013 yatakayo anza 8 hadi 11.08.2013

Usikose kuwasiliana nao at kamati.utu@googlemail.com

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post