Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakijisevia maziwa kwenye kontena la kampuni ya maziwa Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo kuchomoka na kuacha njia eneo la Ubungo Mataa jijini Dar es Salaam likitokea Mkoani Tanga.hakuna aliejeluriwa kwenye ajali hiyo.
Aaahhh.... haya mwezi mzima.....
Wakati wa Kuftuhu yama mambo ndio yenyeweee:Ustazi akijipatia nae maziwa bila kujali yana usalama au hapana.
Wazee wa Feva wakatia timu kilingeni.
Kichwa chenye namba za usajili T 787 AFX kilichokuwa kimebeba kontena la maziwa likiwa pembeni ya barabara mara baada ya kuacha njia likitokea Mkoani Tanga.Wazee wa Feva wakiwatawanya watu eneo la tukio.
Mambo ya kufa kufaani hayooooo....
Wadau wakisikilizia.
Tags
HABARI ZA KITAIFA