Inavyoonekana usalama ni jambo la muhimu zaidi kwa sasa kwa supa staa wa Barbados Rihanna ambaye ameprove hilo kupitia urembo wake wa masikioni kwa kuvaa hereni za dhahabu zenye muundo wa bastola…LOL
Jana (July 16) Rihanna aliingia katika hoteli ya 45 Park Lane huko Manchester wakati wa tour yake ya Diamonds inayoendelea akiwa na hereni hizo za gold zenye muonekano wa bastola.Mara kadhaa hit maker wa ‘Diamonds’ Rihanna amekuwa akivaa nguo zenye picha ambazo huwa inaaminika anatuma ujumbe kwa mtu (Chris Brown) hasa unaohusiana na matatizo yake aliyokuwa nayo na aliyekuwa mpenzi wake Chris Brown, je unadhani hereni za bastola ni ujumbe wowote kwa Chris Brown au Karrueche Tran?.
Home
»
HABARI ZA WASANII
» RIHANA ADHIHIRISHA USALAMA NI ASILIMIA 100, AVAA HERENI ZA DHAHABU ZENYE UMBO LA BASTOLA
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.