Watoto wakipata futari.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam jana.Watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari hiyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto.
Baadhi ya watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Baadhi ya watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
(Picha na zote Freddy Maro)
Tags
HABARI ZA KITAIFA