NHIF YATOA NGAO KWA WASHINDI WA MASHINDANO YA TIKA, MOROGORO

majaliwaNaibu Waziri wa Elimu katika Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Kassim Majaliwa akikabidhi ngao iliyotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa mshindi wa mashindano ya TIKA yaliyofanyika mjini Morogoro kwa Kiongozi wa timu ya Garage FC Jumanne Wida baada ya kuibuka washindi.humbaMkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emanuel Humba akikabidhi ngao kwa Shaaban Mrisho kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TIKA yaliyodhaminiwa na NHIF.BENDERAMkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akipeana mkono wa pongezi na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera baada ya kupokea cheti cha ushiriki na mchango wa NHIF uliotolewa kufanikisha maadhimisho ya Serikali za Mtaa.humba 2Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akionesha cheti kilichotambua mchango wa NHIF katika maadhimisho hayo.tikaKikosi cha Timu ya Garage FC ambacho kiliibuka mshindi katika
mashindano ya TIKA wakiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,Emanuel Humba ,,,, Mfuko Wa NHIF Ndio uliodhamini mashindano hayo.

Picha Na Habari: Abdulaziz Video

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post