MSANII WAKAZI KUPIGA SHOW NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA JUMAPILI HII

clip_image002Msanii wa Hip Hop Tanzania maarufu kama Wakazi ambae anafanya vizuri sana kwenye soko la Hip Hop ameonekana kupata bahati ya kuchaguliwa kuweza kutumbuiza ndani ya Jumba la Big Brother Africa The Chace, siku ya tarehe 7 mwezi huu ambayo itakuwa ni Jumapili hii.clip_image003kupitia moja ya kurasa zake za mitandao ya kijamii wakazi ameandika from @jokatem @channeloafrica I will be Performing this Sunday the 7th on the #BigBotherTheChase Eviction Show…. AFRICA ARE YOU READY FOR THE BILINGUAL BEAST?!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post