“MBEGU ZA KIUME ZINANG’ARISHA MENO”HAYO YAMESEMWA NA MUIGIZAJI MAARUFU, SOMA HAPA

clip_image001Muigizaji mashuhuri toka Nollywood/Ghollywood aitwaye Yvonne Okoro hivi karibuni amekuwa kwenye majibizano makali na kupitia mtandao wa twitter mara baada ya kuandika maneno yenye mtazamo wa kingono.
Muigizaji huyo wa Nollywood/ Ghollywood akijiamini aliandika kwenye twitter akisema “Njia nzuri ya kuyafanya meno ya mtu kuwa meupe ni mbegu za kiume”.

Kama ilivyotarajiwa, mashabiki waliitafsiri tweet hiyo kwenye kiwango kingine, wakianza kumshambulia na kumuita role modo mbaya.
Na gafla akakimbilia kujilinda kutoka kwa mashabiki wengine wenye msimamo mkali.

Kiukweli tweets zake imeonekana kuwavuruga baadhi ya mashabiki zake sababu yeye ni kioo cha jamii huku baadhi wengine wakifikia hatua ya kumuita majina ya ajabu.

Ila muigizaji huyo aliitetea hoja yake kwa nguvu zote....clip_image001[11]clip_image001[9]clip_image001[13]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post