MASIKINI, MTU ASIYE NA CHEMBE YA HURUMA AMTUPA MTOTO MAENEO YA BAMAGA DAR

clip_image002Huyu ndiye malaika wa Mungu aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na TBC hapa akiwa amebebwa na mmoja wa mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema kumleta ITV,Anayeonekana kwa nyuma ni mmoja wa vijana waliomuokota mtoto huyoclip_image002[6]Hembu angalia jinsi katoto kalivyo kazuri kenyewe kanahisi kako na mama yake kumbe msamaria mwema.clip_image002[8]Baadhi ya wafanyakazi wa ITV wakimshangaa mtoto aliyetupwaclip_image002[10]

Picha zote kwa hisani ya Reuben Mchome wa ITV/Radio One

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post