MAAJABU YA MBEYA HEBU SOMA HII KWA MAKINI KABISA.
Huyu mzee alifika katika studio za Kyela FM, anasema yeye anahitaji Msaada anataka kwenda kumfufua Mwl. Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa aliyefariki Miaka 15 iliyopita,
Na huo ufunguo ameushika mkononi ndiyo wa kumfufulia! Madai yake mzee huyu
anasema anaenda kumfufuana Mwalim ndiye atakuja kusimamia uchaguzi wa mwaka 2015. Na pia anaibashiria CCM kuwa mshindi atatoka katika chama cha CCM.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.