“HATA KAMA NIKIPEWA MILIONI 800, SIFANYI KAMPENI YA CHAMA CHOCHOTE”-BEN POL

clip_image002BEN POL

Kufuatia upepo wa wasanii wa muziki hivi sasa kuonyesha ama kuweka wazi mapenzi yao na vyama vya siasa na wengine kujiunga kabisa na vyama hivi hapa nchini, Hali imekuwa tofauti kabisa kwa msanii Ben Pol ambaye ameapa kuwa hawezi kushiriki wala kupigia debe chama chochote katika shughuli zake.

Hii ndiyo tweet aliyoweka Ben Pol leo kuhusiana na hili;clip_image001Katika mahojiano ambayo msanii huyu ameyafanya exclusively na mwandishi wa blog ya jamii, msanii huyu ametoa kauli nzito kuhusiana na yeye kujihusisha katika vyama hivi vya siasa, pamoja na sababu ya uamuzi wake, Msikilize Ben pol hapa;

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post