Unknown Unknown Author
Title: BREAKING NEWS: AJALI YA BASI YAUA WANNE DODOMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha na Maktaba Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la Najmunisa linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limepa...

clip_image001Picha na Maktaba

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la Najmunisa linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limepata ajali eneo la Mbande mkoani Dodoma na kuua watu wanne na kujeruhi abiria kadhaa. Basi hilo lililokuwa linaelekea Mwanza lilipata ajali hiyo baada ya kupasuka tairi la mbele. Mashuhuda wa tukio hilo wanadai kuwa mali zote za abiria ziko salama kutokana na uwepo wa Check Point ya polisi jirani na eneo la ajali.

Chanzo: Radio One

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top