BREAK NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA, MTU MMOJA AFARIKI NA WENGINE WAJERUHIWA VIBAYA

clip_image001Gari No T663AAD mali ya mr.Victor wa Songea limepinduka na kuua mmoja na wengine kujeruhiwa katika eneo la ghala la Litula wakielekea Chiola. Mzigo mzito na idadi kubwa ya watu pia imechangia.Hakuna aliyekimbia,kutokana na wingi wao walidhibiti mali zao (saa 2ucku)

“Magali yalikuwa mawili yakifukuzana kwenye kona gali la nyuma likakosa kona na kuanguka”,alisema shuhuda mmoja wa ajali hiyo.

Marehemu yupo katika chumba chamaiti katika hospital ya nachingwea na watu wengi wameumia sana maungoni

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post