BRAND NEW AUDIO: STAMINA FT RICH MAVOKO–JAMVI LA WAGENI

clip_image002Ni ngoma ambayo kama imerudiwa tena na rapper Stamina pamoja na Rich Mavoko ambao hapo mwanzo waliwahi kutoa ngoma moja iliyoitwa KABWELA.

Safari hii ni kama wameamua kurudia tena ngoma hiyo ambayo wameipa jina la “JAMVI LA WAGENI” ila kwa mistari tofauti kabisa na ata kiitikio ni tofauti pia lakini mdundo wa ngoma hiyo ni ule ule unaofanana na mdundo wa kwenye ngoma ya Kabwela.

Pata time yako ya kuweza kusikiliza hapa chini …

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post