Pichani Mwalimu Amlima anaturushia habari hii mpya ndani ya mfungo wa Ramadhani:
Usiku wa kuamkia Leo binti Huyu aliingia nyumbani kwangu bila watu kutambua tukamgundua alfajiri saa 11 alipokuwa anang'ang'ania kutoka nje ila anashindwa. Kibaya zaidi milango yote ilikuwa wazi wakati tuliifunga tulipokuwa tunaingia vyumbani kulala. Ni jambo ambalo linanikosesha amani siku ya Leo.Binti aliye ganda ndani ya nyuma ya Mwalimu Amlima
Majirani wakimshangaa Binti huyo…

Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.