Unknown Unknown Author
Title: BRAND NEW VIDEO MUSIC || AKOTHEE - YUKO MOYONI || WATCH HERE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kusambaa kwa picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha msanii wa muziki wa Kenya, Akothee akiwa ndani ya shela ...
Akothee - Yuko Moyoni
Baada ya kusambaa kwa picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha msanii wa muziki wa Kenya, Akothee akiwa ndani ya shela la ndoa, Jumamosi hii ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Yuko Moyoni’. Video imeongozwa na director Godfadher kutoka Afrika Kusini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top